mbavuchanga
Member
- Mar 19, 2015
- 70
- 7
Gari aina Hilux pick up engine 3L single cabine naiuza kwa bei nzuri tatizo lake ni kukausha maji haraka kwenye rejeta tu na inatumia dizeli.
Kwa mawasiliano 0787594060
Kwa mawasiliano 0787594060
Gari aina hilux pick up engine 3L single cabine naiuza kwa bei nzur tatizo lake ni kukausha maji haraka kwnye rejeta tu na inatumia dizel. Kwa mawasiliano 0787594060
Kwa kifupi tu sema gari ina matatizo ya kuchemsha mkuu!any way nakutakia kila la kheri!