Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei 9,300,000/ Gari imetembea km 100000 Gari ina mziki wa maana (sound) Contact 0715591141
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kiwe dar sehem yeny mzunguko wa watu kwa mawasiliano pga
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Nina kiasi hiko cha pesa, natafuta simu bomba kwa matumizi ya kisomi. Mwenye nayo aina yoyote touch with good memory capacity, Good CPU, tuwasiliane fasta.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
kiwanja kinauzwa... kipo eneo la nkuhungu , nkuhungu west block q... kipo eneo zuri , maji na umeme jirani... kipo karibu na lami iendayo singida.. kimepimwa na CDA... bei mil 7... maelewano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye nayo ani-PM ,Bajeti yangu 150k,Nipo DSM.
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Habari za leo wana Jamii, Nimepunguza bei ya kuuza, naona hali ni ngumu kwetu wetu watanzania. Iko tayari kufanyia biashara au matumizi ya kawaida. kwa yule aliyekuwa tayari. Bei mpya mil 1.1...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Call/text 0789741582 Specs: Brand: Target Color: Silver Operating System: Android Storage Capacity: 8 GB 3G TABLET WITH DUAL SIM SPECIFICATIONS: SYSTEM CPU: DUAL CORE CORTEX-A7...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Samsung note 2 inauzwa 430,000 imetumika miezi 3 rangi grey
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kuna mwenye iPhone 5 used ani PM
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nahitaji iphone plus rangi silver 16gb or 64gb iwe mpya kwenye box. Muuzaji naomba ni PM. Nataka wauzaji siyo madalali please naomba sana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari!,msaada kwa mtu ambaye anajua wanakojaza wino wa printer na photocopier vizuri hapa dar nicheck
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Website inauzwa tembelea www.kinukazi.com Inahusika na Uuzaji na ununuzi wa bidhaa Utangazaji wa kazi na mtu kuweza kuapply kazi online Ni kama directory ya makampuni mbalimbali Afu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta seat cover za gari ndogo kwa bei nafuu zaidi atakayenithibitishia kuwa ana seat cover za bei nafuu zaidi ya wengine wote NITAMNGURUMISHIA/NITAMPIGIA SIMU..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toyota PASSO MPYA - 7.3Mil used overseas only. Imported from JAPAN CONTACT: 0765072175 / 0786987248 (Whatsapp zipo on) NOTE: Zipo kila rangi Specs range: YOM - 2002 -2005 Mileage - 60000km -...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta adapter oroginal ya toshiba c850 mwenye nayo anipe bei.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanachuo wa Kampala University wanaotaka kupanga nyumba ninayo. Ni self, full furnished, maji umeme ni 1.5 KM kutoka chuo. Bei Kitanda ni 25,000 tu. Ni PM endapo unahitaji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo Kinondoni 2 master bedrooms, sitting room, corridor, kitchen, parking, kibaraza kwa nje na ua ina nafasi for those side, pia kuna choo nje. piga 0718488595.. ur welcome:welcome:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kama uzi unavyojieleza, nauza gari yangu aina ya toyota passo used in few month with a good condition. Haina tatizo lolote wala mkwaruzo wowote. Bei ni 8ml. Nipo Arusha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimegundua hapa kwetu Bongo kuna tatizo la kuandika Kiingereza na Kiswahili pia. Hivyo nikishirikiana na wataalamu wenzangu tumeamua kufungua ofisi ya kufanya kazi za kuhariri (Editing)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Horsepower 185 zinafaa sana kwa watu wa migodini zina njia 3na njia ya umeme. Mawasiliano Call, WhatsApp +255 654 380 695 Au call +255 759 702 766
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom