Natafuta chumba cha kupanga kinondoni

Natafuta chumba cha kupanga kinondoni

arafa255

Senior Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
118
Reaction score
55
Wanajamvi natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kinondoni kuanzia mkwajuni mpaka manyanya cha elf40 mpaka elf 50.. Anayejua anijuze.
"Usilolijua ni usiku wa giza"
 
Wanajamvi natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kinondoni kuanzia mkwajuni mpaka manyanya cha elf40 mpaka elf 50.. Anayejua anijuze.
"Usilolijua ni usiku wa giza"

duh mkuu kwa hiyo bei vyumba utakavyopata jiandae kununua mtumbwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom