Habari wakuu. Nauza printa zangu 2 jumla kwa bei tajwa hapo. Ni hp deskjet 1000 na hp pro mfp 125 nw. Zipo katika hali nzuri kabisa na wino.
Hii ya hp pro ni 3 in 1. yaani unaprint black & white, scanning na photocopy. zipo ndani ya box japo zmetumika kwa muda wa miezi 2. kwa maelezo na maelewano zaidi piga namba 0686964264. Picha unaweza kutumiwa kwa whatsapp.