Jokofu/fridge linauzwa Magomeni, Dar es salaam

Jokofu/fridge linauzwa Magomeni, Dar es salaam

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Jokofu bado lipo katika hali nzuri sana,limetumika kwa miezi 8 kwa matumizi ya nyumbani.
Bei laki sita.

Lipo Magomeni Dar es salaam
 

Attachments

  • 1429699954278.jpg
    1429699954278.jpg
    31.6 KB · Views: 287
  • 1429699976860.jpg
    1429699976860.jpg
    21.8 KB · Views: 247
Jokofu bado lipo katika hali nzuri sana,limetumika kwa miezi 8 kwa matumizi ya nyumbani.
Bei laki sita.

Lipo Magomeni Dar es salaam

naomba unifafanulie hiyo kauli hapo unaposema limitumika miezi 8 unamana ulinunua jipya au lilishatumika uko ulaya kwa miaka saba ndio likaletwa hapa tanzania kama used
 
pili jaribu kutoa maelezo yalioshiba je pamoja na kutumika miezi hiyo 8 je ulishawahi kujenga urafiki na mafundi friji na hilo friji lako ili ss wanunuzi tujue tunanunua friji la aina gani
 
Back
Top Bottom