Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza simu samsung galaxy S3 black used with fully accesories. Price 330,000/= Nipo dsm,pm for business BASIC SPECIFICATION OS- Android 4.3 jelly bean Display-4.8" super Amoled CPU-Quad-core 1.4...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Tafadhali kama unayo, weka offer yako hapa au inbox.
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Tumeingiza mzigo mpya wa matrailer, matrailer mapya kabisa aina ya Nursan na Serin. Ubora wa matrailer haya unaweza kupakia container za futi 20 mbili kwa pamoja na futi 40 moja. Breki zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta Toyota IST ya dark bluu, pia kama sio rangi hiyo yoyote. Mtu anayeuza Toyota 1ST anitafute.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Nnatafuta laptop, Iwe: -na uwezo wa touch -4gb ram au zaidi. -500gb hdd iwe core i5 au zaid -nyembamba -na uwezo wa kukaa na chaji masaa 2 au zaidi. Kama unayo nicheki pm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wale wanaomiliki hotel sasa nawasogezea huduma nzuri ya kupata nyanya, vitunguu, carrot na hoho vikiwa ni fresh kutoka shamba. Nakuletea mpaka eneo ulipo bila kucharge gharama ya usafiri. Nyanya...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau kuna mti mkubwa sana aina ya keleptas unauzwa maeneo ya sanawari bei utaongea na mzee ukifika. Ni mti unaoweza kutoa mbao nyingi sana za milango na furniture zingine za ndani. Kwa maelezo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa tangazo la kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Habari! Natafuta gari ya kununua ya aina tajwa hapo juu bei tutazungumza. Niko Mwanza hivyo Walioko Mwanza na maeneo jirani watapewa kipaumbele. Angalizo; Gari iwe katika ubora na uzima wa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wana JF wenzangu, Natafuta engine iliyo katika ubora ya gari Toyota Starlet - Half Engine Corolla E5 kwa hapa Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali ani pm au anijuze kupitia 0689 101177 au 0757...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
iwe kwenye good condition nipe bei yako tufanye biashara 0688206680 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Tunatoa huduma ya kuandika Business Plan, Project Proposal, Katiba za NGOs na Makampuni. Pia tunatoa ushauri jinsi ya kuanzisha Biashara, Kuanzisha Kampuni, Kuanzisha NGOs na mengine mengi. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Salaam wana jf Kwa anayehitaji TV bora za kisasa aina mbali mbali zinapatikana kwa bei poa Kigamboni ilipo stand ya daladala ziendazo Kibada, Kongowe karibu sana na stand ya pikipiki kwenye frem...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari, Ninaitaji chumba kimoja cha kupanga,napendelea maeneo yafuatayo tabata kimanga,bima,aroma,ubungo,mbezi beach,salasala,tegeta.NIPO TAYARI KULIPA KWA MIEZI MITATU KWA KUANZIA.BUDGET YANGU...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Nina peving blocks za kijanja na bei nafuu pia cement blocks size zote Kwa anayehitaji awasiliane nami kwa 0786582077 hmushi06@gmail.com Niko Kaliua mkoani Tabora.........
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunauza nguo za mitumba kwa bei ya jumla na rejareja, Nguo tunazouza ni Magauni ya wadada, wamama, top, blauz n.k Magauni marefu kwa bei ya jumla ni 10,000/=, magauni mafupi 5000/=, top 4000/=...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bought in the US, never used only tested once. Compatible with rechargeable AA and AA NiMH batteries Up to 8 hours charge time Automatic shut off when charge is complete LED charge status...
1 Reactions
0 Replies
758 Views
Kuna frame tunaiachia iko opposite na NMB Bank Branch ya Msasani. Kodi tulikuwa tunalipa 300,000/ kwa mwezi, Kwa anaye hitaji tuwasiliane 0715591141
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Nyakato National. ina vyumba 4 vya ndan master 1 na vya kawaida v3.dinning room na sitting room. ina vyumba vi3 vya nje na bafu na choo cha nje. iko karibu na s/m gedeli pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…