Mlikuwa mnafanya biashara gani reason ya kuachia, biashara ipoje hapo kuna watu namaanisha ni eneo lililochangamka kibiashara?!
Hueleweki mkubwa.Kama unaachia frem kwani nini uifanyie marketing.
Acha mwenye nayo ahangaike.Unanitia wasi wasi.
Ila nahitaji
Ni bahati mbaya naishi mbali sana lakini lile eneo ukiweza kulenga ni zuri sana. Hata hivyo ingekuwa bora kama ungetoa specification za frame yenyewe in terms of size.
c.c mrangi
Ni bahati mbaya naishi mbali sana lakini lile eneo ukiweza kulenga ni zuri sana. Hata hivyo ingekuwa bora kama ungetoa specification za frame yenyewe in terms of size.
c.c mrangi
Ni kweli sisi tumekuwa pale kwa miaka 7, biashara yetu pale ime drop sana ya kuuza vitu used.ila it's good location kwa biashara ,ila biashara yetu imedunda
Kwa frame inayoweza kuweka mafriji 25+ basi ni frame ya uhakika. Lakini kama ulivyosema, lile eneo jinsi lilivyokaa halishawishi kwa biashara kama hiyo ingawaje bado nakiri kwamba ni bonge la eneo. Yaani ningekuwa naishi angalau pande za Morocco, lile eneo mtu unaweza hata kulipia ukapiga kufuri frame kuangalia nini hasa uweke.Kwa ukubwa wa size ya frame sijajua..Ila frame hiyo tulikuwa tu napanga ndani fridge zaidi ya 25, yaani medium na large fridges na vitu vingine kama majiko etc