Chumba cha kupanga kinahitajika maeneo haya

Chumba cha kupanga kinahitajika maeneo haya

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,041
Reaction score
2,131
Habari,
Ninaitaji chumba kimoja cha kupanga,napendelea maeneo yafuatayo tabata kimanga,bima,aroma,ubungo,mbezi beach,salasala,tegeta.NIPO TAYARI KULIPA KWA MIEZI MITATU KWA KUANZIA.BUDGET YANGU NI ELF 40 MPAKA ELF 50 KWA MWEZI KUTEGEMEA NA UZUR NA UKUBWA WA CHUMBA NA MAENEO YANAYOHUSIKA.
Naombeni msaada wenu 0686 102422.
 
Chumba kipo tena kizuri sana maeneo ya msasani kina tiles na gmsam kikubwa tena luku ya peke yako,kodi ni 80000 kwa mwaka .,ni mp for more information

Kodi ya mwaka ni 80000 du very cheap aiseee, (nafikiri kuna makosa ya kisanifu hapa)
 
Maeneo ya Tabata changombe au Segerea kwa bibi vipo.Choo ni cha pamoja,usafi kwa zamu,au unatoa pesa kama ni Brazamen.Maeneo ya karakata chumba na sebule kwa 60 usalama wa hali ya juu hata baiskeli inalala nje
 
Ebana nami natafuta chumba sebule self kiwe na tiles,mazngra mazur ata nje kdogo ya barabara bei isizidi laki moja-100000 maeneo ni morogoro road kuanzia baruti adi mbezi nakaa wahusika mn pm pls
 
Maeneo ya Tabata changombe au Segerea kwa bibi vipo.Choo ni cha pamoja,usafi kwa zamu,au unatoa pesa kama ni Brazamen.Maeneo ya karakata chumba na sebule kwa 60 usalama wa hali ya juu hata baiskeli inalala nje

Nitakucheki mkuu
 
Back
Top Bottom