Kamata Mashamba

Kamata Mashamba

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,085
Reaction score
1,082
Mashamba yanapatikana Kijiji cha MwanzoMgumu, Kisarawe. Yapo ya ukubwa wa ekari 5, ekari 10 na la ekari 100.
Yapo mpakani mwa wilaya ya Kisarawe na wilaya ya Mkuranga karibu na mto mbezi. Yana hati ya kimila na maji yapo mengi sana chini ya ardhi kama utachimba kisima.

Mazao yanayostawi ni mpunga, mahindi, ufuta, mananasi, vitunguu, nyanya na aina zote za mboga, mihogo, viazi, mapapai, miembe, michungwa, migomba, minazi, alizeti, mtama, matikiti maji, mapesheni n.k. Maeneo yana rutuba nyingi sana, kuna maeneo hayajawahi kulimwa tangu kuumbwa kwa dunia.

Soko kubwa la mazao ni soko la Chanika, soko la Buguruni na wafanyabiashara hufuata mazao shambani.Eneo hili linapata mvua mara mbili kwa mwaka, mvua za vuli na mvua za masika, sasa hivi wakulima wanaandaa mashamba kwa ajili ya kilimo cha vuli. Barabara zinapitika kipindi chote cha mwaka na usafiri upo wa daladala, pikipiki na Noah. Matrekta ya kulima yanapatikana kijijini.

Eka moja inauzwa kwa shilingi milioni mbili tu, mazungumzo yapo kutengemea na eneo.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu : 0714 526 057 na 0762 931 237

Karibuni ajira zipo mashambani.
 
Nataka ekar 5 kwanza kila moja nakupa 1M kama upo interested niambie
 
Bei sana hiyo,laki tano nakupa nataka eka 10 maeneno hayo hata 1M hunishauri kununua...
 
Lina ukubwa wa ekari ngapi?

shamba lina ukubwa heka 10
bei m 5
unaweza panda nyanya tikiti vitunguu bamia pilipili hoho ardhi nilishaipimia na mazao mengine
km 30 kutoka mlandizi
m 10 kutoka mto ruvu
maji hayakauki mwaka mzima
 
Back
Top Bottom