Boxer bm 150-2,100,000/-tzs-0715 157732

ANNA BAJAJ

New Member
Jun 12, 2013
4
2
boxer bm 150.jpg

boxer bm 150
rejareja-2,100,000/-tzs
jumla-1,920,000/-tzs

Attachments

  • bajaj re 205 new model.jpg
    bajaj re 205 new model.jpg
    18.2 KB · Views: 215
  • platina 125cc.jpg
    platina 125cc.jpg
    65 KB · Views: 227
Bajaji bei gani sasa hivi?

shilingi 5,600,000/-TZS
inakuwa na usajili pamoja na plate namba ya njano
free 3 service yani kila baada ya kilometa 750 na ukianza na 750 yenyewe kisha 1500 na ya tatu ni 2500 ama 3000
kuna garentiii ya miezi 7 kwa chochote kitakacho aribika ama leta tatizo na ikionekana akitengenezeki unabadilishiwa chombo unapewa nyingine.
karibu.
 
helo anna bajaj. ili upate boxer kwa bei ya jumla unatakiwa kununua kuanzia ngapi?
 
helo anna bajaj. ili upate boxer kwa bei ya jumla unatakiwa kununua kuanzia ngapi?

kabla ya yote nijue upo wapi n biashara yako ipo hai kweli ndugu?baada ya hapo tunaenda kwenye maandishi yani nione tin number yako ya biashara na duka...kwa idadi nakupa ata mbili sio mpaka ziwe nyiiiiiiingi,lakini kama kuna fulsa pana ya kufanya biashara eneo lako nikithibitisha aah sina hiana tutaongea zaidi,lkn kama unataka fanya biashara kwa sasa boxer ni sehem ya kuwekeza utajuta kwa uwekezaji wako,ni bidhaaa inayototka sana yani ni lulu sasa...zaidi ukiwa kama wakala wetu nakupa hadi msaada wa afisa masoko/mauzo anaenda mtaani kukutafutia wateja,malipo yake ya siku na mwezi ni chini ya kampuni si ww...funguka
 
Na vipi toyo zinapatikana!

sijui juu ya hio mpendwa...mimi ni kampuni ya bajaj...
na bidhaaa za bajaj zipo katika makundi mawili,ambayo ni:
1.bajaj mataili matatu-RE 205 new model kwa sasa
2.bajaj mataili mwili-kuna bajaj boxer bm 100,150,kuna bajaj platina 125cc,kuna bajaj pulsar 185 etc
 
shilingi 5,600,000/-TZS
inakuwa na usajili pamoja na plate namba ya njano
free 3 service yani kila baada ya kilometa 750 na ukianza na 750 yenyewe kisha 1500 na ya tatu ni 2500 ama 3000
kuna garentiii ya miezi 7 kwa chochote kitakacho aribika ama leta tatizo na ikionekana akitengenezeki unabadilishiwa chombo unapewa nyingine.
karibu.

Unaweza kutupa contacts zako tafadhali? Atleast email yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom