Namtafuta baba yangu

Namtafuta baba yangu

mwajei

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
129
Reaction score
38
Naitwa Neema Bundala(Shilo) nipo arusha namtafuta baba yangu anaitwa AGUSTINO MASOKOLA BUNDALA. Alikuwa anaishi tengeru Arusha miaka hiyo 1995.Aliniacha nikiwa mdogo sina hata picha yakujua yukoje .Please kwa yeyote anaemfahau asiache kunijulisha. Tangu mwaka 1995 mpaka sina mawasiliano nae. Hata ndugu yake nikipata mawasiliano nijue yko hai au amekufa. walau nione hata kaburi lake. mawasiliano PM

Huyu ni mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaniomba nimwekee tangazo lake.
 
Bundala wanapatikana kanda ya ziwa ni vema ukasikiliza radio free wanakipindi cha kutafutana
 
Back
Top Bottom