Msaada: Nina 350,000/=, naweza pata computer mpya?

Msaada: Nina 350,000/=, naweza pata computer mpya?

power bank

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
101
Reaction score
17
Mada tajwa hapo juu inahusika. Naomba kufahamu kama naweza pata laptop (hasa Kariakoo) kwa bei tajwa hapo juu. Ni kwa ajili ya kujisomea na kuangalia movie tu.
Natanguliza shukrani
 
Mpya kivipi????????
Unazungumzia min laptop??????
hiyo ni bei ya used.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom