haidary hassan
Member
- Mar 9, 2014
- 69
- 5
Kwa anayefahamu price ya hii Galaxy S6 edge naomba anifamishe..... Ni bora kufanya research kujua bei ili kujua unajipangaje, so kwa anayefahamu anifamishe but kwa asiefahamu asubiri naye afahamishwe hajalazimishwa kujibu(warning)...,and usiniulize kwann usiende kuuliza dukani mkuu coz nimezunguka huku Moro sikuipata dat y I decided to ask you guys BEI YA SAMSUNG GALAXY S6 EDGE. Daah I really want this phone.