Tab isurf IS7238 Model

Tab isurf IS7238 Model

Joined
Aug 23, 2013
Posts
71
Reaction score
10
naombeni msaada kuna tablet inauzwa hapa mpya aina hiyo hapo juu. nataka kujua utunzaji wa chaji na internet yake kama vipo vizuri. mwenye uzoefu plz.
 
SKU (simple): IS961ELAC6NSNGAMZ
Model: IS7238
Weight (kg): 0.3
Colour: White
Display Size (inches): 7.0
Internal Memory(GB): 8
CPU Speed (GHz): 1.30
Megapixels: 2.0
Operating System: Android
Features: 3G|Wi-Fi|Dual SIM
Network Connectivity: 3G,Wi-Fi
RAM(GB): 1
 
Attachments

  • 1432786193358.jpg
    1432786193358.jpg
    22.4 KB · Views: 160
Thanks mkuu ila niliomba uzoefu wa chaji pia kama inakaa maana hizi nadhani si popular sana hapa
 
Kama ni suala ya chaji si ununue na power bank tuu!
 
Ndugu yangu nakushaur hiyo tablet achana nayo! Haifai, nilinunua kwa Mara ya kwanza mwaka Jana mwez wa 5 ikanisumbua sana, ikaanza tatizo la chaji tatizo lenyewe ukiweka chaji kama inawaka ikawa haichaj ila ukiizima ndo inachaj! Nikarudisha niliponunua wakanizungusha miezi miwili wakanipa nyingine, hiyo nyingine niliyopewa nikaitumia mwezi mmoja na yenyewe ikaanza tatzo la nyota na reli havifanyi kazi kwahivyo nikitaka kuweka vocha inanibid nitoe laini niweke kwenye simu nyingine ndo niweke vocha! Kwahivyo hazifai zina matatizo
 
Pamoja na tatizo la chaji, ina uwezo mdogo sana kwenye kamera..very poor picture quality
 
naombeni msaada kuna tablet inauzwa hapa mpya aina hiyo hapo juu. nataka kujua utunzaji wa chaji na internet yake kama vipo vizuri. mwenye uzoefu plz.

Tablet dual sim, itakaa na chaji masaa4. Bora uchukue tecno p9,G9 au n9 kama bajeti yako ndogo.
e14afb7800b2c33dd8c0cfed5b438fcd.jpg
 
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu.mmenikwamua huenda ningejuta soon. Thanks sana
 
Ndugu yangu nakushaur hiyo tablet achana nayo! Haifai, nilinunua kwa Mara ya kwanza mwaka Jana mwez wa 5 ikanisumbua sana, ikaanza tatizo la chaji tatizo lenyewe ukiweka chaji kama inawaka ikawa haichaj ila ukiizima ndo inachaj! Nikarudisha niliponunua wakanizungusha miezi miwili wakanipa nyingine, hiyo nyingine niliyopewa nikaitumia mwezi mmoja na yenyewe ikaanza tatzo la nyota na reli havifanyi kazi kwahivyo nikitaka kuweka vocha inanibid nitoe laini niweke kwenye simu nyingine ndo niweke vocha! Kwahivyo hazifai zina matatizo

vip chaji ilikaa?
 
Back
Top Bottom