kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Nyumba ya vyumba vitatu master siting kitchen na woshloom inauzwa nyumba ipo tabata shule mita 200 kutoka balabalani ina fens na ene la kupaki magari ndani ya fensi bei 160ML kwa anae hitaji anicheki kwenye namba 0715426668 maelewano yapo