Heka moja Saadani Bagamoyo

Heka moja Saadani Bagamoyo

manka15

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
47
Reaction score
3
heka moja ya beach plot saadani bagamoyo ntauza tsh ngapi?
 
Udalali kazi kweli.
Yaani humu unauliza ili uweke range ya bei,
Kiwanja chako mwenyewe bei usijue?hii akili kweli.

Yaani hata value ya eneo husika hujui au huulizi hata wenzio kwamba size hiyo ya 10,000sqm ni kiasi gani ili upate jibu.

Usibahatishe maisha,vitu vingine kuuliza vinatia aibu.
 
Kuuliza sio ujinga zanzibar spices unaweza kuwa najua bei fulani kumbe kuna watu wapo tayar kulipa twice as much au ukaweka bei kumbe ni kubwa sana. Hata kama ni aibu si itanirudia mimi na sio wewe. Ungeweza kupita tu sio kila post unacomment
 
Majirani kule wameshikilia tu hawauzi wakina Kipungu wenye heka za kutosha na kanisa la roman katolic
 
Lini mara ya mwisho kulitembelea eneo? Maana kuna wawekezaji wamechukua maeneo mengi kule.
Serikali imewapa bila kulipa wananchi fidia.
 
Wakuu mimi nahitaji eneo lililo karibu na chanzo cha maji kama si mto basi kuwepo na maji ya kisima, nina hitaji kwa haraka ukubwa ni kuanzaia ekari 2 na kuendelea maeneo ya bagamoyo. kama unalo naomba uje pm serious sellers only
 
Wakuu mimi nahitaji eneo lililo karibu na chanzo cha maji kama si mto basi kuwepo na maji ya kisima, nina hitaji kwa haraka ukubwa ni kuanzaia ekari 2 na kuendelea maeneo ya bagamoyo. kama unalo naomba uje pm serious sellers only

Nnacho Mapinga, kisima kimeshachimbwa, solar panels cha mwisho next to bahari nikinaanisha cha mwisho, unaingilia nuia ya Lord Baden sec school ni hekari 2 na nyumba mpya ni pm au call 0763853801 anytime. Kina hati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom