Nyumba ya kupangisha Kimara Suka

Nyumba ya kupangisha Kimara Suka

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,212
Reaction score
942
Nyumba ya kisasa kabisa ipo kimara suka inapangishwa ina vyumba vinne vya kulala sebule kubwa na dinning ya kutosha choo cha ndani na nje maji yapo na matenki kama matano ya lita elfu 1000 2000 3000 5000. umeme upo pia geti na mazingira mazuri sana.

Wasiliana nami kwa namba hii 0655852298 au 0717754132.
 
Vitu muhimu kuvijua kabla!
1. Bei elekezi: maelewano yanakuja baada ya kuweka bei elekezi

2. Picha za nyumba husika

3. Umbali kutoka kituoni

4. Umeme ni luku au mita

5. Fafanua kwenye maji, je ni dawasco au ya kununua

6. Umezungumzia geti bila kusema kama kuna parking ya magari

7. We ni dalali au mwenye nyumba ndo dalali?

Kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom