Wana J F ,
Nauza body ya truck niliagiza from Japan ilikuja na small canter truck ,inafaa kama vile storege unit Au unaweza kufanya kama movable business Au hata kibanda cha watch man ,Au unaweza...
Husika na kichwa hapo juu... Natafuta dalali wa kuniuzia machungwa yangu nakuja nayo dar yapo kama 40000 hiv.. Kwa mzoefu wa hiz anijuze kwa pm.. Faida itayotoka atakula 25 percent
Chungwa ni...
Kama unahitaji nyumba au chumba cha kupanga mwenge karibu, bei zinatofautiana kulingana na ubora, na mmiliki,
Pia hapa kuna nyumba ipo full vyumba vitatu kimoja self jiko pia maji yapo na uzio...
Nauza simu yangu HTC one M7 unlocked, imetumika kama miezi 4 iko katika hali nzuri sana screen protector, haina mchubuko. Ipo kwenye cover ya aina ya otter. Bei laki tatu na nusu. Niko Dar...
Wanatakiwa vijana wachapakazi umri kuanzia 20-. Sifa; Mwenye kujituma.
Mbunifu.
Aweze kuongea kwa ufasaha kiingereza na kiswahili.
Jasiri.
Contact ;0716548250./0753548250
TANGAZO TANGAZO
BIASHARA BIASHARA
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 20 linauzwa!! Bei ni powa kabisa!! Ukichukua ekari 5 au zaidi kila ekari 1 utapata kwa 1.15 M na kama ukichukua chini ya...
wakuu nauza washing machine ni mpya kabisa inakama mwezi tu nmeimport ya 10kg nzuri kwa biashara ya dry cleaners kwaiyo aliye tayari anipm hapo tufanye biashara
nauza gari tajwa ikiwa katika hali nzur kabisa
gari ni manual gear
ina cc 4200
ni model ya 1990
4wd
bei ni mil 10 maelewano yapo
nitafute kwa 0656497469 tufanye biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.