hp laptop HDD 500GB, Windows 8.1 Enterprises is available for TZS.650,000 or Best Offer. The laptop is brand new, running with Intel Processor @ 2.16GHz. If interested, contact me at 0684-599-704
Bei 5 mln
Model 1999,gari liko dar,ac iko mukide gari iko vizuri, vibali vya gari vyote viko safi
Katika bei hiyo Maongezi kidogo yapo.
kwa wale wanunuzi serious 0715591141
Karibuni.
Pata htc one m7 used kwa 400k.
Imetumika mwezi mmoja tu.
charger yake ipo safi kabisa.
Napatikana Daresalaam,
Kwa mawasiliano zaidi 0657233029
Maelewano yapo
Kama unahitaji products za Victoria Secret na Bath & Body Works KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA.
origInal kutoka marekani, tujulishe sasa. Tunatuma:
Body Wash za kike na kiume
Perfum
Body Mist...
Morning wadau,
Nauza toyota starlet ya rangi ya silver.
1. Ipo njema kabisaa
2. Number T970 BME.
3. Bei ni 5mil..maongezi accepted.
4. Rangi ni Silver na gari ipo mjini hapa hapa. Dsm.
Kwa...
Original Boxed Brand new Htc desire 816 for sale
1.6 GHz Quad-core CPU
5.5 inches size
13 MP back camera and 5 MP front camera
8GB internal memory with 1.5GB RAM, supports up to 128GB external SD...
Nauza suzuki maruti omni, kama inavyoonekana kwenye picha, ni no b, manual imetembea 63,000km za india, ina siti nyuma na inafaa kwa abria au kubebea box .
Mawasiliano 0754 59 52 56
Salamu zenu wapendwa, Naomba kufahamu kama simu zifuatazo zinapatika hapa Dar es salaam, duka zilipo na bei.
Simu zenyewe ni:-
Samsung Galaxy Core Prime
Microsoft Lumia 640 LTE
HTC One (M8)...
Natafuta computer hii kwa ajili ya kazi zangu binafsi kama unayo samahani nijulishe nipo Morogoro Kingolwira.
Nitajie specification uone ninavyoichukua..
Ukiingia ndani ya 100 sandals Co. Utapendeza tuu.100 Sandals Co. ni wauzaji wa sendo bora za kiume na kike kwa bei ya jumla na rejareja. Bei zetu ni poa kwa maelewano yakuridhisha.popote mteja...
Natafuta laptop ya kunnua aina yoyote hasa hasa hp iwe na ram ya 4gb hdd 500, bajeti yangu ni 250k top bila mazungumzo ikiwa used iwe ktk hali nzuri ntakuja na mtaalamu kuikagua iwe haijafunguliwa...
10 acres; Bei: $ 350,000
Simu: 0787 528745
Umeme, kisima, mabanda matatu na kila banda linabeba kuku 12,000; godown, kinu cha kutengeneza chakula cha kuku,mashine ya kunyonyoa kuku, cold room...
Kwa mara nyingine kampuni yenu pendwa imewaletea machines nyingine za kutotoa vifaranga.
Sasa hivi tumeleta zenye uwezo wa kuangua mayai 1584,hii ni baada ya kupendwa na wateja wengi...
Habar wana jf kwa mahitaji yako ya viatu bomba vya kike kwa wakina dada basi hapa ndo kwake.....tunakuletea ulipo kwa wakazi wa dar,mikoan tunakutumia pia unaweza kutu follow instagram account...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.