mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
wakuu nauza washing machine ni mpya kabisa inakama mwezi tu nmeimport ya 10kg nzuri kwa biashara ya dry cleaners kwaiyo aliye tayari anipm hapo tufanye biashara
Hizi biashara kichaa hizi, sasa unaleta biashara bei hutaj, tusio na wazo tunaweza kufkri kununua, ongezea na picha mambo yawe bam bam.. usifanye matangazo ya gongo hapa