Natafuta ps3 au ps2

Natafuta ps3 au ps2

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Mko powa wadau?

Natafuta mashine hizo kati ya ps3 au ps2 iwe katika hali nzuri na iwe inacheza game za kwenye flash/memory..

Nakaribisha mwenye nazo.
 
Mi ninayo ps3 mpya nina iuza na cd zake pamoja na boksi lake....
 
ninayo ps2 , yenye sifa utakazo.
ina memory yake.
inacheza games za kwenye flash.
inacheza games za kwenye cd..
kuhusu bei jihukumu...
napatikana zanzibar but ukitaka nikusafirishie, nitafanya hivyo but atakae ileta mtamalizana wenyewe juu ya chochote kitu.
DONE!!!!!!
 
Mi nita kufanyia 450 pamoja na cd zakee
 

Attachments

  • 1434000443317.jpg
    1434000443317.jpg
    45.8 KB · Views: 143
ninayo ps2 , yenye sifa utakazo.
ina memory yake.
inacheza games za kwenye flash.
inacheza games za kwenye cd..
kuhusu bei jihukumu...
napatikana zanzibar but ukitaka nikusafirishie, nitafanya hivyo but atakae ileta mtamalizana wenyewe juu ya chochote kitu.
DONE!!!!!!

Bei yake vipi?inakuja na games gani?
 
C una jua cd za ps3 expensive moja ina uzwa laki moja xo mi nita kupa na cd moja ya fifa...
 
Nicheck pm nakupa ps 3 iliyokuwa cheaped na michezo mitano ndani yake ambayo ni latest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom