Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,710
Husika na kichwa hapo juu... Natafuta dalali wa kuniuzia machungwa yangu nakuja nayo dar yapo kama 40000 hiv.. Kwa mzoefu wa hiz anijuze kwa pm.. Faida itayotoka atakula 25 percent
Chungwa ni la ukweli kutoka muheza... Ukila lazima ukae chini aiseeee...
Chungwa ni la ukweli kutoka muheza... Ukila lazima ukae chini aiseeee...