Nauza Kiwanja Kimere - Mapinga Km 1.5 kutoka barabara ya Bagamoyo na mita 500 Kutoka barabara inayoenda Kibaha. Ukubwa wa Kiwanja ni M 20 kwa 30. Bei ni Tsh. 7M. Kiwanja ni changu na hakina...
Ipo lg home theatre system ht 302sd na subwoofer yake na tweeter zake 4 ya tano haipo ila cd haisomi plus subwoofer ya sony.Yenyewe
Mimi nimeunga vyote yaani ni balaaa
TSH 200K TU fixed price...
Habari zenu wapendwa natafuta collora e90 kwa million moja, kwa mwenye nayo anijulishe kwenye 0716002323, na unitumie picha kwa whatsapp kwenye 0786188190
Habari wandugu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga Arusha. Iwe ni chumba kimoja na sebule au vyumba viwili na Sebule. Kiwe kinajitegemea kwa maana ya choo, jiko na iwe ndani ya fence. Ningependelea...
Habari wakubwa kwa wadogo,
Nauza viatu hivyo vya kiume, Hutojutia hela yako, utavaa mpaka uchaguzi wa mwaka 2020!
Nauza reja reja na jumla, karibuni sana.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami...
Kwa anayehitaji viwanja vya bei nafuu ambavyo havijapimwa vinapatikana Buyuni (Mgeule) kama km 1 na nusu kutoka barabara kuu iendayo chanika (Upande wa pili wa barabara inayotazamana na viwanja...
Tunakuwekea software hii ya SPSS Statistics 20.0 kwaajili ya kufanya data entry na data analysis.
Wewe ni mwanafunzi wa chuo unayetaka kufanya research? wewe ni mwalimu wa chuo kikuu unafanya...
Nahitaj mtu ambaye anahusika na kuandaa trip kwa ajili ya watu mbalimbali.
Trip itakua ya watu 50 kutoka dar kwenda Serengeti.. nahitaj bei na maximum time ya kukaa ni siku tatu yani moja...
Habari za leo wadau wa JF?
Napenda kuwajulisha kuwa ninauza gari Toyota Nadia yenye specifications ziuatazo;
Body type: Station Wagon
Colour: Silver
Year of Manufacture: 2002
Engine: 1AZ...