Tour Operator

Tour Operator

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Nahitaj mtu ambaye anahusika na kuandaa trip kwa ajili ya watu mbalimbali.

Trip itakua ya watu 50 kutoka dar kwenda Serengeti.. nahitaj bei na maximum time ya kukaa ni siku tatu yani moja kwenda nyingine kutembelea hifadhi na ya tatu kurudi

asante
 
Nina gari za kukodisha maalumu kwa ajili ya utalii (war buses) Land Rover &Land Cruiser! Ila kwa bahati mbaya trip ya Dar-Serengeti ni parefu bora na gharama zake zitakuwa kubwa...km huwezi panda ndege nashauri mtafute Coaster walau2 kwa hao watu 50!
 
Back
Top Bottom