Get yours, Get Smart

Get yours, Get Smart

eyetyna

Senior Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
148
Reaction score
17
Habari wakubwa kwa wadogo,

Nauza viatu hivyo vya kiume, Hutojutia hela yako, utavaa mpaka uchaguzi wa mwaka 2020!

Nauza reja reja na jumla, karibuni sana.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia number hii 0718112102.

Asanteni sana

Get yours, Get smart!
 

Attachments

  • 1433921693670.jpg
    1433921693670.jpg
    26 KB · Views: 298
  • 1433921705785.jpg
    1433921705785.jpg
    33.6 KB · Views: 288
  • 1433921724025.jpg
    1433921724025.jpg
    31.4 KB · Views: 228
Tupia na bei mkuu@ ayetyna

Bei ziko tofauti hapo mkuu,inategemea unachukua mzigo kiasi gani,lakini pia bei maelewano,si yakushindwa kukufanya uwe smart.

Asante Mkuu.
 
Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo.

Thanks.

Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo?
 
Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo?

Hizo number Mkuu ndo kila kitu ,ukihitaji unaletewa ulipo wewe bosi wangu.
 
Weka bei ya hivi vya rangi nyeusi hapa chini halafu useme bei kwa mtu aliyepo Dar Es Salaam na anataka pair/jozi? moja

attachment.php
 
Biashara zetu wabongo ngumu sana, kusema tu kwamba "sina duka, duka langu ni online tu" inakuwa tabu!
 
Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo.

Thanks.

Weka bei basi
utampelekea mteja kisicho na bei, weka bei mkuu eyetyna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom