Tunauza SPSS Statistics 20.0

Tunauza SPSS Statistics 20.0

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Tunakuwekea software hii ya SPSS Statistics 20.0 kwaajili ya kufanya data entry na data analysis.

Wewe ni mwanafunzi wa chuo unayetaka kufanya research? wewe ni mwalimu wa chuo kikuu unafanya research au wewe ni researcher wa kampuni fulani? pengine unataka kuwa unafanya kazi ya data entry? Huu ni wakati wako, wasiliana nasi tukuwekee software hii kwenye laptop yako kwa shilingi elfu ishirini tu (20,000).

Wasiliana nasi: tonyhaule@hotmail.com

KARIBUNI SANA.
 
Kuweni na huruma wandugu ili msambaze maarifa Taifa liende mbele. Hizi mambo sio za kuuza. Zipo bure mitandaoni (torrents watu wanapakua cracked version bureeee). Mie nagawa SPSS 21 bureeee. Disadvantage tu ni kuwa siwezi weka hapa ina GB 1.8
 
Siku hizi tunatumia R . Spss imepitwa na wakati. R ni bure kabisa
 
muda mwingine kama unaona huna uhitaji wa kitu kilichotangazwa bora ukae kimya.............huwezi jua aliyeweka tangazo alikuwa na hali gani mpaka anaamua kuweka tangazo kama hilo.......kama we unahisi unatoa huduma za bure ni bora uanzishe thread ya kwako afu uwaelekeze watu huduma zako za bure..................kuna watu hata torrent hawaijui so hao ndo targeted customers sio wewe uliyejifunza kuright click...ni mtizamo 2!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sorry it wasn't my intention.

Back
Top Bottom