Nauza Kiwanja Mapinga

Nauza Kiwanja Mapinga

Nashengena

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
3,140
Reaction score
5,733
Nauza Kiwanja Kimere - Mapinga Km 1.5 kutoka barabara ya Bagamoyo na mita 500 Kutoka barabara inayoenda Kibaha. Ukubwa wa Kiwanja ni M 20 kwa 30. Bei ni Tsh. 7M. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote.

Kwa maelezo zaidi njoo PM

Karibuni sana.
 
Nauza Kiwanja Kimere - Mapinga Km 1.5 kutoka barabara ya Bagamoyo na mita 500 Kutoka barabara inayoenda Kibaha. Ukubwa wa Kiwanja ni M 22 kwa 30. Bei ni Mil. 8,500,000. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote. Dalali hatakiwi

Kwa maelezo zaidi piga 0714 078881

Karibuni sana.

Sawa Mkuu.
Ila ungesema bei ni Mil 8.5 au ni 8,500,000.

Samahani lakini!
 
Nauza Kiwanja Kimere - Mapinga Km 1.5 kutoka barabara ya Bagamoyo na mita 500 Kutoka barabara inayoenda Kibaha. Ukubwa wa Kiwanja ni M 22 kwa 30. Bei ni Tsh. 8,500,000. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote. Dalali hatakiwi

Kwa maelezo zaidi piga 0714 078881

Karibuni sana.

Mkuu 5m unachukua?
 
Msisitizo:dalali hatakiwi, nimependa hii sehemu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom