Habari wandugu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga Arusha. Iwe ni chumba kimoja na sebule au vyumba viwili na Sebule. Kiwe kinajitegemea kwa maana ya choo, jiko na iwe ndani ya fence. Ningependelea maeneo ya Sanawari, Salina na Kaloleni. Budget ni 100,000-150,000. Ni PM tafadhali.