Viwanja bei nafuu Buyuni Dar es salaam

pex

Member
Nov 20, 2009
57
95
Kwa anayehitaji viwanja vya bei nafuu ambavyo havijapimwa vinapatikana Buyuni (Mgeule) kama km 1 na nusu kutoka barabara kuu iendayo chanika (Upande wa pili wa barabara inayotazamana na viwanja 20,000 vya mradi wa Wizara ya Ardhi). Viwanja viko sehemu nzuri na vinapatikana kwa ukubwa wa mita 20 x 15. Bei ni shilingi 3,500,000 kwa kiwanja. Wahi mapema kabla havijaisha. Kwa mawasiliano 0657 621427.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom