NONGWA
Senior Member
- Mar 10, 2012
- 142
- 116
Wana JF,
Leo naleta kwenu biashara, nina Toyota IST ya mwaka 2002 namba zake ni CBD inauzwa 9.5m imetembea km 86,670 tu tena hapa hapa Dar es salaam. Yaani kuja ofisini na kupaki nyumbani (Oysterbay to Posta).
Karibuni kwa mahitaji ya kuiona piga namba 0753 201849 au 0716 135959