Nauza GARI na KIWANJA kwa bei nafuu sana

mluhilamkuu

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
50
Reaction score
25
Wadau
Kuelekea kuchukua Jimbo moja mwezi Oktoba, nauza GARI langu Canter Tone Tatu Box Body pichani kwa bei nafuu sana. Lina mwezi mmoja tangu liwasili kutoka Japan. Lipo Dar es Salaam.
Pia nauza Kiwanja changu kimoja chenye ukubwa wa hatua za mtu mzima 25 kwa 25. Kiwanja nimekwishakijenga msingi wa Nyumba ya kisasa yenye Vyumba 4, Study Room,VIP Lounge nk. Pia shimo la choo nimeshalijenga kabisa. Kipo Madale,Dar es Salaam. Bei ni Ml.8,500,000 tu
Mhitaji serious tuwasiliane
0654 998326
 
Attachments

  • 20150607_111939.jpg
    20150607_111939.jpg
    326.5 KB · Views: 675
  • 20150607_112000.jpg
    20150607_112000.jpg
    385 KB · Views: 596
  • 20150606_114816.jpg
    20150606_114816.jpg
    439.1 KB · Views: 570
Wadau
Kuelekea kuchukua Jimbo moja mwezi Oktoba, nauza GARI langu Canter Tone Tatu Box Body pichani kwa bei nafuu sana. Lina mwezi mmoja tangu liwasili kutoka Japan. Lipo Dar es Salaam.
Pia nauza Kiwanja changu kimoja chenye ukubwa wa hatua za mtu mzima 25 kwa 25. Kiwanja nimekwishakijenga msingi wa Nyumba ya kisasa yenye Vyumba 4, Study Room,VIP Lounge nk. Pia shimo la choo nimeshalijenga kabisa. Kipo Madale,Dar es Salaam. Bei ni Ml.8,500,000 tu
Mhitaji serious tuwasiliane
0654 998326
 
Hiyo 8.5M ni kwa vyote kwa nna na hiyo gari ama!!

Kama ni hivyo mmh!!
 
Nitakutafuta kesho kiongozi tufanye biashara
 
Angalia tu usije kujitia kitanzi baada ya kulikosa jimbo! Pesa yako ni bora ukaichezea kamari (betting) kuliko kuitumbukiza kwenye siasa! Any way, kila la kheri, nyota yako na ing'ae kama ya Obama!
 
Wadau
Kuelekea kuchukua Jimbo moja mwezi Oktoba, nauza GARI langu Canter Tone Tatu Box Body pichani kwa bei nafuu sana. Lina mwezi mmoja tangu liwasili kutoka Japan. Lipo Dar es Salaam.
Pia nauza Kiwanja changu kimoja chenye ukubwa wa hatua za mtu mzima 25 kwa 25. Kiwanja nimekwishakijenga msingi wa Nyumba ya kisasa yenye Vyumba 4, Study Room,VIP Lounge nk. Pia shimo la choo nimeshalijenga kabisa. Kipo Madale,Dar es Salaam. Bei ni Ml.8,500,000 tu
Mhitaji serious tuwasiliane
0654 998326

Madale kwenye mgogoro?
 
KWA wadau mliochangia kuwa Madale kuna mgogoro wa ardhi ni Madale ipi hiyo mnayoizungumzia!!!Maana nina nyumba 4 huko Madale na zote zina Hati ya Wizara Ardhi na sijawahi kupata wala kusikia mgogoro wowote wa Ardhi huko hivyo nawashangaa sana wandugu!!
 
Mkuu hiyo bei ni kiwanja na canter? au kiwanja alone?
 
umepotea...achana na siasa jenga house na endesha gari lako ww utajuuuuuuuta...mganga wako kakuzodoa
 
Siasa safi si munasema hazihitaji pesa?unauza hivyo vitu kwanini?
Hapa ndipo ninapoona watu wanamsema mzee Lowasa bure!kumbe hata uenyekiti wa mtaa unanunuliwa.
 
Hajasema anakwenda kutoa rushwa wakuu. Hivi kuzunguka jimbo zima kufanya kampeni hakugharimu? Lets be real, tusihukumu pasipo data za kutosha.
 
aiseee babayangu ngoja ifike mwezi wa 9 na2mai vitashuka bei
 
KWA wadau mliochangia kuwa Madale kuna mgogoro wa ardhi ni Madale ipi hiyo mnayoizungumzia!!!Maana nina nyumba 4 huko Madale na zote zina Hati ya Wizara Ardhi na sijawahi kupata wala kusikia mgogoro wowote wa Ardhi huko hivyo nawashangaa sana wandugu!!
Weka bei ya hiyo box board na aina ya engen yke
 
Dah!kumbe betting zipo za aina nyingi tu sio kwa muhindi na mzungu pekee.
 
Back
Top Bottom