Nahitaji gari ya kubadilishana

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
653
505
Habari wana JF,

Nina gari aina ya Toyota Altezza yenye specifications zifuatazo;
Make: Toyota
Model: Altezza
YoM: 2002
Engine capacity: 1990
Body type: Saloon
Seating capacity: 5 passengers
No of cylinder: 4 cylinder
Reg no: T.......CKR
Colour: Blue
Additional information: Gari ipo katika hali nzuri sana Mashaallah, tyres zote 4 mpya, nimeiwekea Spenser kuiinua kidogo juu.
Sababu za kubadilishana: Nina mashamba mbali kidogo na Dar Es Salaam, sasa gari ipo chini sana na njia za mashambani ni rough road hivyo inanipa taabu sana napoenda huko shambani
Aina ya gari nayohitaji: Toyota models za juu ni more preferable kama vile Klugger, et al. Nipo tayari kuongeza pesa kidogo.

Mawasiliano: 0659211222

Picha: picha zaidi waweza kuzipata through whatsapp
 

Attachments

  • 1434634260766.jpg
    1434634260766.jpg
    75.6 KB · Views: 181

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom