Ofa ofa samsung note korean Tzs 280,000 tu

Ofa ofa samsung note korean Tzs 280,000 tu

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Nauza Sumsang korean note shv e160s international version ambayo ni sawa na ni 7000 tofauti ni kuwa hii ni nzito.

Sababu ya dogo kukosa ada nauza kwa bei chee kama unavyoona. First come first serve njoo uichukue.

Hii ina 8gb internal memory, na 2gb ram. Bei sawa na bure hivyo haipungui.

Nipigie 0719206920 ama 0683157704 uje ufwate, niko Dar.

Rangi ni nyeupe picha nakutumia kwa whatsapp. Haina michubuko wala mikwaruzo na ina gorilla screen protector nakupa na cable yake ya kuchajia.
 
Weka picha hapa mkuu, mambo ya whatAap wengine hatutumii hiyo kitu

Bahati mbaya picha zinakataa ku upload sijui hii account ina shida gani. Nipe namba ya mtu hapo karibu mwenye whatsapp nikutumie uichungulie. Dogo arudi skuli banaaa
 
bei ya dukani ndogo zaidi ya kwako used why???
 
Back
Top Bottom