Natafuta gesi mtungi mdogo ulio na kajiko juu

Natafuta gesi mtungi mdogo ulio na kajiko juu

imanihope

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
384
Reaction score
98
Natafuta mtungi wa gesi mdogo ulio na kajiko kwa juu.

Tuwasiliane 0713715772 uwe Dar es salaam
 
mbona yamejaa tu kila petro station jamani? ya kila aina? si uende tu hapo sheli ya karibu uchukue kuliko kutafuta waliyokwishatumia wenzio? mimi huwa nashangaa na mtu anakuja hapa ati anatafuta simu wakati maduka yapo rundo, si aende dukani? huyu naye anatafuta mtungi wa gesi wakati sehemu wanazouza zipo rundo.
 
Back
Top Bottom