Habari wana JF,
Nauza Laptop inaitwa packard bell ni original Local disk (c) =48.8 GB, local disk (D)=62.9GB ipo kwenye hali nzuri inafanya kazi, ninauza kwa tsh 250,000/= nakupa na adapter pamoja na external speaker. Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa mesage au piga namba 0787987160.Vilevile nauza mordem ya eartel kwa tsh 20,000/=tu inafanya kazi.
ASANTENI