bei nafuu,ni laki nane, ukinunua iliotumika utashangaa huduma zimesitishwa, alafu ndo ujue huwezi kufanya transaction yoyote, fanya research kuhusu hio kampuni, huduma zake sio nzuri, fanya biashara nyingine achana na hao jamaa utakuja kujuta kwa hasara utakayokua unapata kila siku na wateja utakaokua unagombana nao kwasababu wamekupa hela umeshindwa kuwapa huduma alafu wewe ushakatwa hela....nawasilishaHabari zenu wadau, mwenye mashine ya max malipo inahitajika....
iwe bei nafuu kwa kweli!?