Laptop inauzwa, HP Elite-book

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
Hp eliteBook ,HDD 500GB, RAM 4GB, CORE i5 2.6Ghz, DVD RW, WEB CAMERA. Used lakini iko vizuri sana.Bei 420,000/= 0769 222882
 
Hp eliteBook ,HDD 500GB, RAM 4GB, CORE i5 2.6Ghz, DVD RW, WEB CAMERA. Used lakini iko vizuri sana.Bei 480,000/= 0769 222882
Picha zake hizo
 

Attachments

  • 1434095049282.jpg
    1434095049282.jpg
    37.9 KB · Views: 317
  • 1434095080183.jpg
    1434095080183.jpg
    50 KB · Views: 290
  • 1434095100308.jpg
    1434095100308.jpg
    45.5 KB · Views: 301
  • 1434095120572.jpg
    1434095120572.jpg
    54.8 KB · Views: 291
  • 1434095134894.jpg
    1434095134894.jpg
    62 KB · Views: 289
  • 1434095157171.jpg
    1434095157171.jpg
    48.7 KB · Views: 282
Mimi ninashida nayo lkn nina laki tatu,ila mpaka end of this month,kama itakuwa bado ipo utanijulisha namba ni 0763919424, niko Masasi Mtwara
 
Mimi ninashida nayo lkn nina laki tatu,ila mpaka end of this month,kama itakuwa bado ipo utanijulisha namba ni 0763919424, niko Masasi Mtwara

Laki 3 siuzi utatafuta nyingine tu ukipata hiyo hela yako.
 
:):):) usipaniki nimeuliza tu mkuu,biashara maelewano,maana mimi mwenyewe naitafuta sana mashine hiyo...

Siyo kwamba napanic lakini wewe umeuliza kama vile laki 3 nikubwa sanaa bila kulinganisha na thamani ya kitu mbona hadi za laki na nusu zipo watu wana uza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom