Spacio inauzwa

Spacio inauzwa

ram

Platinum Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
9,376
Reaction score
8,618
Spasio inauzwa, kama unahitaji piga namba 0765980414 kwa maelezo zaidi
 
Yah.... my dear

basi weka details zaidi kuonesha upo serious, ya mwaka gani, imetembea km kiasi gani, ipo katika hali gani na mengine mengi, ulivyoweka ni ngumu mtu kuamua. Na ikibidi weka picha yake, plate number ni A, B, C au D?
 
JEKI ndio sababu nimeweka namba za simu kama mtu yuko serious atanipigia tu au kunisms. Anyway namba ni B, iko kwenye hali nzuri na inatembea na haina shida yoyote,mind you ni gari ya mwanamke so hata utunzaji wake ni mzuri, haijawahi kupata ajali yoyote, imetembea km 64,000 hadi sasa.
Kazi kwako kutafuta mteja halafu wewe si unaifahamu hii gari, ndio ile ile gari yangu unayoifahamu
 
Last edited by a moderator:
Picha tafadhali,ni ile model mpya au ni ile ya zamani?
 
ram inabidi uweke kila kitu ili watu washawishike, kama ndo ile ipo bomba sana, bei mbona ndogo sana sasa, halafu km 64,000 inaelekea uliichukua new brand kabisa.
 
Ni model ya zamani, sina access ya kuweka picha kweny PC, nicheki kwa sms kama una whatsup nitakutumia picha
 
ram inabidi uweke kila kitu ili watu washawishike, kama ndo ile ipo bomba sana, bei mbona ndogo sana sasa, halafu km 64,000 inaelekea uliichukua new brand kabisa.
JEKI, kila kitu kama nini vile kwa mfano, gari ni ya mwaka 2000, ilikuja na km 39000, mimi nimeiendesha hadi kufika hizo km 64,000. Nitafutie mteja tu bana
 
Last edited by a moderator:
JEKI, kila kitu kama nini vile kwa mfano, gari ni ya mwaka 2000, ilikuja na km 39000, mimi nimeiendesha hadi kufika hizo km 64,000. Nitafutie mteja tu bana

Nitumie wasap na mimi nitafute wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom