Nyumba upande unapangishwa Tabata Kimanga

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Ipo Tabata Kimanga, ina chumba na sebule choo jiko na bafu, umeme maji vipo, inajitegemea gari mpaka nyumbani
chini ina tires juu sing bord ya kawaida , bei 150,000 miezi 6.

Tuwasiliane 0657145555 mi dalaliI
 
ungeweka na picha ya ndan na mazingira yalivo ndugu
 
Ipo Tabata Kimanga, ina chumba na sebule choo jiko na bafu, umeme maji vipo, inajitegemea gari mpaka nyumbani
chini ina tires juu sing bord ya kawaida , bei 150,000 miezi 6.

Tuwasiliane 0657145555 mi dalaliI

kwanini mmeweka matairi chini??!! najua unamaanisha TILES. rekebisha.

ceiling board,tiles
 
mbali sana ningepata maeneo ya kimara mwisho kuelekea mjini ningechukua hiyo faster
 
Ipo Tabata Kimanga, ina chumba na sebule choo jiko na bafu, umeme maji vipo, inajitegemea gari mpaka nyumbani
chini ina tires juu sing bord ya kawaida , bei 150,000 miezi 6.

Tuwasiliane 0657145555 mi dalaliI

Akiri,mzee we mji mzima unaumaliza,kweli we dalili wa jiji
Hembu sema maji yamo?

Halafu ni nyumba au CHUMBA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom