-Helps removes make-up,dirt and impurities with pore tightening witch hazel
-Tea free facial wash has been developed to cleanse your face and remove any impurities,leaving your face feeling...
Habari wadau,
Natafuta spare za honda acty van ya mwaka 2004, spare ninayohitaji ni clutch plate na bearing ya kwenye top shaft.
Mwenye info where to get anijuze pliz
Startimes wametoa application yao inayoitwa tenbre play kwa watumiaji wa smartphone za android .Application hii inakuwezesha Kufanya mabo yafuatayo
1.Kufanya malipo online
2.Kubadirisha...
Imeshafanya kazi muda mrefu ivyo ina wteja tayari. Ni ya standard ya kawaida. mwenyewe alikuwa mwanachuo amemaliza anataka kurudi kwao mkoani.
For serious business just PM
Wadau,
Samsung nayotumia inachagua sana chaja na hizi za kawaida ambazo fei ni nyingi inazibagua sana.
So mwenye chaja ya blackberry zile kubwa kubwa za zamani aniuzie.
Wakuu naitafuta hio SIM kwa bajeti ya tsh 750,000/= iwe original na accessories zote, hata kama imetumika kidogo Kama Mwezi Au miwili sio mbaya as long as haina scratch wala tatizo lolote...
Shamba linauzwa Chanika mwanzo mgumu lina ukubwa wa hekari nne na linafaa pia kwa makazi na gari inafika mpaka shambani bei ya kila hekari ni Tsh 1,300,000 maelewano pia yapo.
0714621548
HP 15-r006tu NoteBook PC... core i3 4th generation... ram 4gb and hdd 500gb..BRAND NEW PC
***** Price is 600k *****
For Pictures and business call or whatsapp #0714009817
Wakuu nahitaji hiyo kitu yenye uwezo mzuri wa kufanya kazi za Graphics Design n' Video Editing, ni duka lipi dar naweza kupata kwa bei nafuu either iwe mpya au used yenye hali nzuri?
Asante!
Newly constructed two and one bedroom apartment for rent in Mbezi Beach. Easily accessible to tarmac, 24 hrs security available. Two bedroom unity for only 650 USD and one bedroom unity only 450...
kiwanja kipo kinondo mashariki ni baada ya madale karibia na mabwe pande kiwanja ni 20×20 bei ni mil 2 ninashida ya haraka na pesa kama upo serious nichek 0716385824
Kwa yeyote anaehitaji "field" ya tour guide tuwasiliane >RUAHA GUIDING FIELD CENTRE AND TOURS SAFARIS>RUAHA NATIONAL PARK>0768052234/0755494719 rgfctourssafaris@outlook.com
An almost new fully furnished four bed room house (one master bed room), store, kitchen, spacious sitting room and a common toilet and bathroom is available for rent at Gangilonga prime area in...