F francoo1 JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,509 Reaction score 1,115 Jul 31, 2015 #1 Habari wadau, Natafuta spare za honda acty van ya mwaka 2004, spare ninayohitaji ni clutch plate na bearing ya kwenye top shaft. Mwenye info where to get anijuze pliz
Habari wadau, Natafuta spare za honda acty van ya mwaka 2004, spare ninayohitaji ni clutch plate na bearing ya kwenye top shaft. Mwenye info where to get anijuze pliz