Habari njema kwa wale wanaotumia Startimes

Habari njema kwa wale wanaotumia Startimes

ricmagu

Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Startimes wametoa application yao inayoitwa tenbre play kwa watumiaji wa smartphone za android .Application hii inakuwezesha Kufanya mabo yafuatayo

1.Kufanya malipo online
2.Kubadirisha kifurushi kwa urahisi
3.Kuangalia taarifa za kifurushi chako
4.Kuangalia ratiba za vipindi mbali mbali na kuset alarm ili usivikose
5.Kuangalia videos mbalimbali za vipindi vya startimes
6.Kuanzia mwezi wa tisa utaweza kuangalia ligi ya ujerumani (BUNDESLIGA)
7.Kujishindia zawadi mbali mbali
Inapatikana playstore Ingia harafu search "tenbre play" au www.tenbre.me
 
Back
Top Bottom