Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zinauzwaaa kwa bei pouwaaa . No 0713633204
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale wanaozijua,ipo katika hali nzuri na ni nzuri pia kwa wale wacheza games.Imetumika masaa 74 na bado ni sealed, katika hali ya upya kabsa ACER PROJECTOR X110 3D DLP Part No -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
No scratches iko kwenye good condition Bei 150k
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Kama una hivyo vifaa ni pm namba yako. Hii itapendeza kama unaishi Mwanza, Geita au Bukoba nitavifuata.
0 Reactions
0 Replies
919 Views
hbr wapendwa,natafta msichana wa kazi za ndani.niko tanga mjini.kwa yeyote mwenye kunisaidia basi ani inbox.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika miezi mi4 ila ipo ktk hali nzuri sana kimuonekano na hata kiufanisi wa kazi SIFA ZAKE ========= Front camera & back camera Internal memory 4 GB RAM 512 MB size 3.5 inches Bei tsh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni mpya kabisa internal memory 32 GB ipo na vifaa vyake vyote kwa 650,000/=nichek apa #0718033066
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Wanajamvi, Naomba kwa nayejua anipashe juu ya techno J7 - hii ni simu nzuri? Ikilnganishwa na nyingine kwenye range ya 300,000 ni vipi? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imetumika mwezi mmoja toka niitoe dukani, ina screen protecotr haina scratch yeyote,, ina support Pdf adobe,3d games,YouTube, NETWORK Technology GSM / HSPA LAUNCH Announced 2014...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni mpya kabisa internal memory 32 GB ipo na vifaa vyake vyote kwa 650,000/=nicheki apa #0718033076
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nahitaji simu twajwa hapo juuu budget 600000 call 0762295954
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Nauza duet mil 3.5 haina tatizo lolote inanusa mafuta cc900 imetembea 152,000km full sound pioneer &xplod inadaiwa kibali kimoja tu (road licence) mziki na rim tu gharama zake imecost 2 million...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nina ndugu yangu anahitaji gari tajwa Toyota PROBOX iliyo katika hali nzuri. Please unaweza ni PM tukawsiliana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza viatu kwa kuanzia vya kike, bei inaanzia 10000-20000, walio ndani ya dar wanafikishiwa popote walipo, walio nje ya Dar kuanzia pair 10 tunaku2mia mzigo. Kwa mawasiliano ni pm.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja medium au low density Mtwara mjini. kiwe kwenye maeneo ya wenye nazo au karibu na bahari. Kwa wenye nyumba ya kuuza mtwara maeneo mazuri na au karibu na bahari tafadhali tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kichwa cha habari hapo juu kinahusika, kuna nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa mtwara mjini maeneo ya ligula kwa jionee. nyumba iko ndani ya fence ina chumba tatu zenye master rooms, sebule jiko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kuna Researcher alikuwa anataka nyumba ya Kununua,iwe karibu kabisaaa ya Gate la kuingilia Mbuga ya Serengeti National Park. Mwenyenayo anaweza kuleta pendekezo lake nimtumie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji semi precious stones aina yoyote ile kwa bei yako. Kila aina ya precious stone iwe kwa kiwango kikubwa (weight wise). Nipo Dar-Es Salaam na Morogoro
0 Reactions
0 Replies
673 Views
kilomita isizidi 100000,mwenye nayo anipm,budget yangu ni 9m.
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…