Kamera bora ya NIKON inauzwa

Kamera bora ya NIKON inauzwa

Attachments

  • 1440041341765.jpg
    1440041341765.jpg
    60.3 KB · Views: 191
hii picha haifunguki mbona. ungeweka model number watu wa google. pia elezea kama imetumika

Unatumia operamin 0.1 nini mkuu mbona pic inafunguka hyo bila shida na umeambiwa ni mpya labda swali lingekuwa sababu ya kuiuza ingali ni mpya.
 
Nikon Kemera mpya yenye megapixels 20.1 inauzwa @ 170,000/= Tu,
Ipo Dar.

NB:
NI MPYA, INA KILA KITU CHAKE,
HADI WARRANTY.

071

Karibuni sana

Ni Nikon ngapi please tuigugo tujue specs zake. Unaweza pata Mteja ila hivi vitu(specifications ) ni muhimu sana.
Hivyo vitu vyake unavyosema vinainclude nini na nn ukiitoa hio warranty?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom