Butanyata
Member
- Jul 16, 2015
- 51
- 37
Habari wadau, nauza Lexus Rx 3.0 kwa shiling milioni thelathini na mbili (32M),
Gari iko katika hali nzuri, ni ya 2006 na imetembea 126,000 miles! Ni gari ya UK so ina leather seats na ni Automatic. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu 0686477879. Natanguliza shukrani