Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 829
Wadau,
Nina idadi kubwa ya scrapped /shredded truck tyres nahitaji wateja .Ninaweza kusupply zaidi ya tani 3 kila mwezi.Mwenye ufahamu wa soko husika au biashara hii inakwendaje naomba tuwasiliane.
Natanguliza shukrani