Je, unahitaji agency services jijini Mbeya?

Je, unahitaji agency services jijini Mbeya?

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
JE, wewe ni mjasiliamali? Kampuni? Shule ? Chuo? Nk, Na ungependa huduma yako au bidhaa zako ziwafikie watu wa mbeya na maeneo ya jirani?! Basi Kampuni yetu yenye ofisi zake hapa jijini Mbeya tunaweza kuingia mkataba kutoa huduma au kusambaza bidhaa zako huku. Kampuni iko registered, INA leseni na ofisi tangu 2013.
Tumejipanga vizuri tu kuhakikisha tunatumia strategies zote mhimu kufanikisha huduma hiyo.

Kampuni yetu hushughulika na Project consultancies, Outsourcing services na Agency services.

Blog; KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
0754734009
 
Mahsusi kwa wahisika WA nje ya jiji la mbeya, pia hata ndani ya mbeya
 
Huduma hizi ni mhimu kwa wadau wa Biashara mbalimbali nje na ndani ya nchi. Kupanua biashara au huduma zako kwasasa, AGENCY services ni suruhisho jema zaidi kuliko mwenyewe kufungua branches/matawi; hii inasaidia:
  1. watu wengi kufikiwa na huduma au bidhaa zako
  2. wewe kupunguza gharama za uwekezaji na uendeshaji
  3. wewe kutotumia mda mwingi kuzunguka maeneo mbalimbali nchini
  4. wewe kupata mda mwingi kufanyia kazi changamoto za uwekezaji wako na kupata mawazo mapya
  5. kupanua wigo wa ajira kwa watanzania wenzako pia.
hivyo nawashauri kwa kuanza, ANZA nasi, tutaweka taratibu nzuri sana za kimkataba ili kulinda masilahi ya biashara au huduma zako na Kampuni yetu pia.

Tembelea na wasiliana nasi kupitia blog; KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
Back
Top Bottom