viwanja vinauzwa eneo la vikawe njia ya kwenda bagamoyo karibu na shule ya baobab..umbali mfupi kutoka barabarani..ekari moja mill 22..kingine urefu mita 60 kwa 30 mill 15..kwa mawasiliano ni pm
The eTrex Venture offers a worldwide database of cities and increased internal memory. The one megabyte memory capacity allows the eTrex Venture to accept downloaded information from Garmin's...
Jamani wana JF kama kuna mzoefu wa kutengeneza Photocopy machine aina ya CANON np 2120, naomba tuwasiliane kwani mashine yangu haivuti karatasi. muhimu sana.
Kwa yule mwenye uwezo anaweza kuniPM.
Mimi nipo DAr Tabata...ni muuzaji mpya wa vifaa vya chadema kama tisheti...kofia za kapelo na zile za kawaida....Tatizo mimi kwa kuwa sina uzoefu mara nyingi nimekuwa nikinunua kwa bei ya jumla...
Brand new house
Located kijitonyama
2 self contained bedrooms
Sitting room, Kitchen, stoo, balcony
Tiles,Gypsum,Feni,
Iko ndani ya ukuta
Car Parking
Rent 350000tsh
Ni kutoka India, kampuni ya DUBAO. Max power Ni 3.2 kv. Ina wire winding ya cooper. Miezi mitatu yangu inunuliwe.
Liko Tegeta.bei Ni 500,000.
Kwa mawasiliano 0755815174
Habari, tuna incubators zenye uwezo wa hali ya juu sana ambazo zina sifa zifuatazo:
1. Zina emergency power source endapo umeme wa tanesco utakatika kwani zina system unayoweza kutumia solar power...
Heshima kwenu wakuu.
Ninahitaji simu yoyote ya android yenye qwerty key board ya kawaida isiyokuwa touch au yenye option zote.
Mwenye hii simu anambie tufanye bihashara.
Pia naomba ushauri...
Wapendwa natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya kigamboni, kiwe maoneo si ya kiswazi, pawe na maji, na choo kizuri, bajeti yangu ni 50,000
NB-ni chumba cha kuishi, kiwe na umeme, kiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.