Chumba cha kupanga kinatafutwa

Chumba cha kupanga kinatafutwa

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
815
Reaction score
1,721
Wapendwa natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya kigamboni, kiwe maoneo si ya kiswazi, pawe na maji, na choo kizuri, bajeti yangu ni 50,000

NB-ni chumba cha kuishi, kiwe na umeme, kiwe mahala ambapo wapangaji si weng kawa hostel, number zangu (0763503046/0719058458) asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom