Simu hii inahitajika

juakal

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
588
122
Heshima kwenu wakuu.
Ninahitaji simu yoyote ya android yenye qwerty key board ya kawaida isiyokuwa touch au yenye option zote.
Mwenye hii simu anambie tufanye bihashara.
Pia naomba ushauri naweza kupata wapi simu za hivi na ni zipi model nzuri za simu za aina hii.
Asanteni.
 
Ipo moja ya samsung lkn ni za kitambo kidogo.
Pia ipo ya tecno Q1 ila ndio tatizo ni lile lile ram, rom vyote vina uwezo mdogo coz ni matoleo ya muda kidogo.
Ila mkuu kuepuka hili kwann usitafute simu nzuri ya hv karibuni yenye screen pana.
Then kama nikuchati weka on Auto rotation.
Keybord inakuwa ktk landscape mode simu unakuwa unaishika kama unacheza game hapo unachat vzr tu.
 
Kuna galaxy chat pia Ina qwerty. Ila trust me hizo simu za keyboard Ni mbaya, si kila mtu anajua kutengeneza keyboard kama blackberry au Nokia.

Tafuta tu simu yenye kioo kikubwa utazoea kama wiki au wiki mbili.
 
Heshima kwenu wakuu.
Ninahitaji simu yoyote ya android yenye qwerty key board ya kawaida isiyokuwa touch au yenye option zote.
Mwenye hii simu anambie tufanye bihashara.
Pia naomba ushauri naweza kupata wapi simu za hivi na ni zipi model nzuri za simu za aina hii.
Asanteni.

mkuuu tafutaaa simu moja inaitwa samsung galaxy pro dous young..................
 
Ngoja ni google mkuu

Kuna galaxy chat pia Ina qwerty. Ila trust me hizo simu za keyboard Ni mbaya, si kila mtu anajua kutengeneza keyboard kama blackberry au Nokia.

Tafuta tu simu yenye kioo kikubwa utazoea kama wiki au wiki mbili.

Atafute blackberry Q5 au Q10 zitamfaaa

mkuuu tafutaaa simu moja inaitwa samsung galaxy pro dous young..................

tafta Blackbery

Nimepata "htc chacha".
Sijui ubaya wake ila nimeamua kufanya pata potea. Labda mwenye kujua ubaya wake na hata uzuri atatwambia
 
Back
Top Bottom